Victor Grignard
From Wikipedia, the free encyclopedia
François Auguste Victor Grignard (6 Mei 1871 – 13 Desemba 1935) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ufaransa. Alitafiti usanisi na hasa uunganishaji wa kaboni. Mwaka wa 1912, pamoja na Paul Sabatier alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.