Vichy
From Wikipedia, the free encyclopedia
Vichy ni mji wa Ufaransa. Baada ya kushindwa kwa Ufaransa na Ujerumani mwaka 1940 katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia ilikuwa makao makuu ya serikali ya Vichy chini ya jenerali Petain iliyotawala sehemu za nchi zisizotwaliwa bado na Ujerumani pamoja na koloni hadi 1944.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Vichy | |
Mahali pa mji wa Vichy katika Ufaransa |
|
Majiranukta: 46°07′40″N 3°25′36″E | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Auvergne |
Wilaya | Allier |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 80,194 |
Tovuti: www.ville-vichy.fr |
Funga