VenetoFrom Wikipedia, the free encyclopedia Veneto ni mkoa wa Italia. Uko upande wa kaskazini mashariki wa rasi ya Italia. Sehemu ya mji wa Veneto Bendera ya Veneto. Mahali pa Veneto katika Italia. Mji mkuu wake ni Venezia.
Veneto ni mkoa wa Italia. Uko upande wa kaskazini mashariki wa rasi ya Italia. Sehemu ya mji wa Veneto Bendera ya Veneto. Mahali pa Veneto katika Italia. Mji mkuu wake ni Venezia.