Valencia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Valencia (matamshi ya Kihispania: balenthya) ni mji mkuu wa Jimbo la Valencia na mji wa tatu kwa ukubwa nchini Hispania. Kuna wakazi 800,000 mjini penyewe, na takriban milioni 1.6 katika rundiko la mji.
Ukweli wa haraka
Nchi | Hispania |
Jimbo / Mkoa | Valencia |
Anwani ya kijiografia | 39°28′00″N 0°22′30″W |
Kimo | mita |
Eneo | km2 134.65, jiji lote 628.81 |
Wakazi | 791,413 |
Tovuti rasmi | www.valencia.es |
Funga
Valencia ni mji wa bandari na bandari yake ina nafasi ya tano kati ya bandari za Ulaya kwa kuhesabu idadi ya kontena zinazoshughulikiwa.