Mvumbuzi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mvumbuzi (kutoka kitenzi kuvumbua; kwa Kiingereza: inventor) ni mtu aliyefaulu kugundua, kubuni na kutengeneza jambo katika jamii kwa mara ya kwanza.
Si lazima awe msomi[1], tena siku hizi mengine yanavumbuliwa na akili mnemba[2].