From Wikipedia, the free encyclopedia
Katika hisabati, utoaji (kwa Kiingereza: subtraction) ni moja ya uendeshaji wa hesabu nne (pamoja na mgawanyiko, jumla na dharuba). utoaji ni kinyume cha jumla. Alama ya utoaji ni "-".
Kwa usahihi, utoaji ni mchakato wa kuondoa thamani ya namba moja katika thamani ya namba nyingine. Kwa mfano, 5 - 2 = 3.
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Utoaji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.