Ushoroba
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ushoroba (pia: korido, kutoka Kiingereza: corridor) ni sehemu nyembamba ndani ya nyumba au pia baina ya nyumba na nyumba.
Ndani ya nyumba ni sehemu iliyofungwa kati ya kuta kwenda kutoka sehemu moja hadi nyingine, mara nyingi vyumba vimepangwa pande zote mbili za ushoroba.
Hutumiwa hasa katika majengo kama shule na ofisi, lakini pia kwenye hoteli.