Harusi ni sherehe ya maana sana katika maisha ya binadamu.

Thumb
Bwana na bibi harusi, Thailand 2007

Siku ya harusi ni kubwa sana kwa bwana na bibi harusi ambapo wanauacha ukapera na kuingia katika ushirika mwingine ambapo watakuwa kitu kimoja.

Harusi ni ya maana sana katika jamii za Afrika ambapo kijana akifikia kuoa huonekana kama mtu mkubwa atakayeweza sana kufanya maamuzi kwa familia yake.

Mwanamke pia huwa na uchu wa kuolewa ili aweze kupata familia yake, kulea watoto na pia kuangalia mumewe.

Mipango ya harusi

Kabla ya siku hii kubwa ya harusi, mipango kabambe hufanywa ili kila kitu kiwe shwari.

Katika jamii nyingi, watu hualikwa ili waweze kuwashuhudia bibi na bwana harusi wakifunga ndoa.

Harusi huenda ikafanyika kwenye kanisa au mskiti, na hata kwa mkuu wa wilaya hiyo.

Tanbihi

Viungo vya nje

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.