From Wikipedia, the free encyclopedia
Umeå ni mji nchini Uswidi. Ni mji mkubwa wa kumi na mbili katika nchi wa Uswidi. Umeå ni mji mkuu wa mkoa ya Västerbotten. Kuna wakazi Emelie Vestin (mwaka 2005).
Eneo lake ni 33.46 km². Iko kando ya Ghuba ya Bothnia na Mto Ume.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Umeå kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.