From Wikipedia, the free encyclopedia
Uji ni kinywaji kinachopikwa kwa kuchemsha unga na maji ukawa laini.
Mara nyingi hupendwa asubuhi na kwa ajili ya watoto na wagonjwa.
Unga unaotumika unaweza kuwa wa mahindi, lakini pia mtama, ulezi, uwele n.k.
Uji wako utakuwa tayari kwa kunywa.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.