Toulouse
From Wikipedia, the free encyclopedia
Toulouse ndiyo mji mkuu katika mkoa la Midi-Pyrénées. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao milioni 1.1 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 115-263 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Jiji la Toulouse | |
Mahali pa mji wa Toulouse katika Ufaransa |
|
Majiranukta: 43°36′16″N 1°26′38″E | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Midi-Pyrénées |
Wilaya | Haute-Garonne |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 437,715 |
Tovuti: www.toulouse.fr |
Funga