Tolna (wilaya)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Tolna ni moja ya wilaya 19 ya kujitawala ya Hungaria. Idadi ya wakazi wake ni takriban 238,400. Mji wake mkuu ni Szekszárd.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Tolna | |
Mahali pa Wilaya ya Tolna katika Hungaria | |
Nchi | Hungaria |
---|---|
Mkoa | Transdanubia ya Kusini |
Mji mkuu | Szekszárd |
Eneo | |
- Jumla | 3,703 km² |
Idadi ya wakazi (2001) | |
- Wakazi kwa ujumla | 238,400 |
Tovuti: http://www.tolnamegye.hu/ |
Funga