TiranaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Tirana (Kialbania: Tiranë au Tirana) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Albania. Idadi ya wakazi imekadiriwa kuwa kati ya 350,000 (kadirio rasmi ya mwaka 2003) na milioni moja. Kitovu cha mji Tirana Mahali pa Tirana nchini Albania
Tirana (Kialbania: Tiranë au Tirana) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Albania. Idadi ya wakazi imekadiriwa kuwa kati ya 350,000 (kadirio rasmi ya mwaka 2003) na milioni moja. Kitovu cha mji Tirana Mahali pa Tirana nchini Albania