From Wikipedia, the free encyclopedia
Tiba (au: Uganga) ni elimu kuhusu magonjwa ya binadamu mwilini na rohoni, jinsi ya kuzuia magonjwa na kurudisha uzima. Matibabu ni muhimu kwa afya ya binadamu na yanahitajika sana ili kumpa maisha mazuri.
Tiba imeendelea kiasi cha kuwa na matawi yanayoangalia hasa:
Kila somo dogo lina wataalamu wake.
Watu wanaoshughulikia magonjwa ya watu huitwa matabibu au waganga. Mara nyingi watu huwaita "daktari", lakini neno hili lamaanisha zaidi cheo cha kufaulu chuo kikuu kwenye ngazi ya juu; mara nyingi waganga husoma hadi cheo cha daktari wa tiba.
Watu wanaofanya kazi pamoja na tabibu ni muuguzi (nesi) na wasaidizi wengine.
Elimu hiyo inayofuata mbinu za kisayansi ni tofauti na uganga wa kienyeji au wa kimila.
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tiba kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.