[[Picha:Georgia Tbilisi map.PNG|thumb|right|Mahali pa Tbilisi nchini Georgia.]
Tbilisi (pia: Tiflis; kwa Kigeorgia: თბილისი) ni mji mkuu wa Georgia. Iko kando ya mto Kura (Mtkvari) kwa 41°43′N 44°47′E kwenye kimo cha m 380 hadi 727 juu ya UB.
Jiji hilo lina wakazi milioni 1.345.