![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/62/Tl%252C81.jpg/640px-Tl%252C81.jpg&w=640&q=50)
Tali
From Wikipedia, the free encyclopedia
Tali ni elementi. Namba atomia yake ni 81 kwenye mfumo radidia na uzani atomia ni 204.3833. Jina limepatikana kutoka kwa Kigiriki θαλλος thallos „chipuko bichi“ au „chipuko chenye rangi ya kijani" kutokana na rangi ya kijani ya moto kama tali imo.
Ukweli wa haraka Tali (thallium) ...
Tali (thallium) | |
---|---|
Vipande vya Tali katika testitubu | |
Jina la Elementi | Tali (thallium) |
Alama | Tl |
Namba atomia | 81 |
Mfululizo safu | Metali |
Uzani atomia | 204.3833 |
Valensi | 2, 8, 18, 32, 18, 3 |
Densiti | 11.85 g/cm³ |
Ugumu (Mohs) | {{{ugumu}}} |
Kiwango cha kuyeyuka | 577 K (304 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 1746 K (1473 °C) |
Asilimia za ganda la dunia | 3 · 10-5 % |
Hali maada | mango |
Mengineyo | Isotopi ya kawaida ina kiwango kidogi cha unururifu |
Funga