![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/60/Flag_of_Suriname.svg/langsw-640px-Flag_of_Suriname.svg.png&w=640&q=50)
Surinam
From Wikipedia, the free encyclopedia
Surinam ni nchi huru upande wa kaskazini wa Amerika Kusini. Zamani za ukoloni ilijulikana kama "Guyana ya Kiholanzi".
Ukweli wa haraka
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Kilatini: Justitia - Pietas - Fides ("Haki - Imani - Uaminifu") | |||||
Wimbo wa taifa: Opo kondreman | |||||
![]() | |||||
Mji mkuu | Paramaribo 5°50′ N 55°10′ W | ||||
Mji mkubwa nchini | Paramaribo | ||||
Lugha rasmi | Kiholanzi | ||||
Serikali Rais |
Demokrasia Chan Santokhi | ||||
Uhuru Tarehe |
25 Novemba 1975 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
163,821 km² (ya 92) 1.10% | ||||
Idadi ya watu - Julai 2014 kadirio - 2012 sensa - Msongamano wa watu |
573,311 (ya 167) 541,638 2.9/km² (ya 231) | ||||
Fedha | Dollar ya Surinam (SRD ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
ART (UTC-3) (haifuatwi) (UTC-3) | ||||
Intaneti TLD | .sr | ||||
Kodi ya simu | +597
- |
Funga
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/sw/thumb/3/36/Suriname1991.jpg/640px-Suriname1991.jpg)
Imepakana na Guyana, Guyana ya Kifaransa na Brazil.
Kuna pwani ya bahari ya Atlantiki.
Mji mkuu ni Paramaribo.