Stronti
From Wikipedia, the free encyclopedia
Stronti ni elementi na metali ya udongo alikalini yenye namba atomia 38 kwenye mfumo radidia ina uzani atomia 87.62. Alama yake ni Sr. Jina lahusiana na kijiji cha Strontian katika Uskoti ilipotambuliwa mara ya kwamza mwaka 1787.
Ukweli wa haraka Stronti (Strontium) ...
Stronti (Strontium) | |
---|---|
Jina la Elementi | Stronti (Strontium) |
Alama | Sr |
Namba atomia | 38 |
Mfululizo safu | Metali za udongo alikalini |
Uzani atomia | 87.62 u |
Valensi | 2, 8, 18, 8, 2 |
Ugumu (Mohs) | {{{ugumu}}} |
Kiwango cha kuyeyuka | 1050 K (777 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 1655 K (1382 °C) |
Funga