From Wikipedia, the free encyclopedia
Stola (kutoka Kigiriki στολή, stolē, "vazi", kupitia Kilatini "stola",) ni vazi linalotumiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo katika liturujia, hasa kutambulisha makleri na daraja zao.
Umbo lake ni kama ukanda mrefu ambao askofu na padri wanavaa shingoni, kumbe shemasi begani pa kushoto.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Stola kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.