Springfield, Illinois
From Wikipedia, the free encyclopedia
Springfield ni jina la mji mkuu wa jimbo la Illinois nchini Marekani. Mji upo karibu kabisa na jimbo lake. Katika sensa iliofanyaika mnamo mwaka wa 2000, mji huu wa Springfield ulikuwa na takriban watu 110,000 wanaishi mjini hapa. Mji upo m 182 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Springfield | |||
| |||
Mahali pa mji wa Springfield katika Marekani |
|||
Majiranukta: 39°46′59″N 89°39′1″W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Illinois | ||
Wilaya | Sangamon | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 116,482 | ||
Tovuti: www.springfield.il.us |
Funga
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/e/eb/Obama_and_Family.jpg/640px-Obama_and_Family.jpg)