Tai ni ndege mbua wakubwa wa familia Accipitridae. Wana makucha marefu ili kukamata uwimbo na domo kubwa lenye ncha kwa kulabu ili kupapura nyama. Uwezo wao wa kuona kwa macho ni mzuri kabisa na hutambua windo kwa mbali sana. Tai hujenga tago lao juu ya miti mirefu au magenge marefu. Pengine hutumika kwa uwindaji wa vipanga.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Tai |
Tai ngwilizi |
Uainishaji wa kisayansi |
Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
Faila: |
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Ngeli: |
Aves (Ndege)
|
Oda: |
Accipitriformes (Ndege kama vipanga)
|
Familia: |
Accipitridae (Ndege walio na mnasaba na vipanga) Vieillot, 1816 |
|
Ngazi za chini |
Jenasi 20 za tai:
- Aquila Brisson, 1760
- Circaetus Vieillot, 1816
- Clanga Adamowicz, 1858
- Eutriorchis Sharpe, 1875
- Haliaeetus Savigny, 1809
- Harpia Vieillot, 1816
- Harpyopsis Salvadori, 1875
- Hieraaetus Kaup, 1844
- Ictinaetus Blyth, 1843
- Lophaetus Kaup, 1847
- Lophotriorchis Sharpe, 1874
- Morphnus Dumont, 1816
- Nisaetus Blyth, 1845
- Pithecophaga Ogilvie-Grant, 1896
- Polemaetus Heine, 1890
- Spilornis G.R. Gray, 1840
- Spizaetus Vieillot, 1816
- Spizastur G.R. Gray, 1841
- Stephanoaetus W.L. Sclater, 1922
- Terathopius Lesson, 1830
|
Funga
- Aquila africana, Tai wa Cassin (Cassin's Hawk Eagle)
- Aquila chrysaetos, Tai Mfalme (Golden Eagle)
- Aquila fasciata, Tai wa Bonelli (Bonelli's Eagle)
- Aquila heliaca, Tai Kisogo-dhahabu (Eastern Imperial Eagle)
- Aquila nipalensis, Tai-nyika (Steppe Eagle)
- Aquila rapax, Tai Msasi (Tawny Eagle)
- Aquila spilogaster, Tai Kumbamti (African Hawk Eagle)
- Aquila verreauxii, Tai Nderi (Verreaux's Eagle)
- Circaetus beaudouini, Tai wa Beaudouin (Beaudouin’s Snake Eagle)
- Circaetus cinerascens, Tai Miraba Magharibi (Western Banded Snake Eagle)
- Circaetus cinereus, Tai Mlanyoka Kahawia (Brown Snake Eagle)
- Circaetus fasciolatus, Tai Miraba Kusi (Southern Banded Snake Eagle)
- Circaetus gallicus, Tai Madole-mafupi (Short-toed Snake Eagle)
- Circaetus pectoralis, Tai Kidari-cheusi (Black-chested Snake Eagle)
- Circaetus spectabilis, Tai Mlanyoka wa Kongo (Congo Serpent Eagle)
- Clanga clanga, Tai Khangamadoa (Greater Spotted Eagle)
- Clanga pomarina, Tai Madoa (Lesser Spotted Eagle)
- Eutriorchis astur, Tai Mlanyoka wa Madagaska (Madagascar Serpent Eagle)
- Hieraaetus ayresii, Tai-misitu (Ayres's Hawk Eagle)
- Hieraaetus pennatus, Tai Mabuti (Booted Eagle)
- Hieraaetus wahlbergi, Tai Msafiri (Wahlberg's Eagle)
- Lophaetus occipitalis, Tai Ushungi au Matepe (Long-crested Eagle)
- Polemaetus bellicosus, Tai Ngwilizi (Martial Eagle)
- Stephanoaetus coronatus, Tai Kumbakima au Kimakima (Crowned Eagle)
- Terathopius ecaudatus, Tai Pungu (Bateleur (Eagle))
Tai mfalme
Tai khangamadoa
Tai wa Bonelli
Tai kisogo-dhahabu
Tai-nyika
Tai madoa
Tai msasi
Tai kumbamti
Tai nderi
Tai wa Beaudouin
Tai mlanyoka kahawia
Tai madole-mafupi
Tai kidari-cheusi
Tai-misitu
Tai mabuti
Tai msafiri
Tai ushungi
Tai ngwilizi
Tai kumbakima
Pungu