South Orange, New Jersey
From Wikipedia, the free encyclopedia
South Orange Village ni mjini mwa Essex County, New Jersey, Marekani. Na kwa mujibu wa sensa ya Mareakani iliyofanywa katika mwaka wa 2000, mji ulikuwa na idadi ya wakazi wapatao 16,964. Chuo Kikuu cha Seton kinapatikana huko mjini South Orange.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
South Orange | |
Mahali pa mji wa South Orange katika Marekani |
|
Majiranukta: 40°44′52″N 74°15′32″W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | New Jersey |
Wilaya | Essex |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 16,061 |
Tovuti: www.southorange.org |
Funga