![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/ac/Front_of_Sokoto_Sultan_Palce.jpg/640px-Front_of_Sokoto_Sultan_Palce.jpg&w=640&q=50)
Jimbo la Sokoto
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jimbo la Sokoto (lilianzishwa mwaka wa 1976) ni jimbo katika sehemu ya kaskazini-magharibi mwa Nigeria. Jimbo hili lilipata jina lake kutoka kwa mji wake mkuu wa Sokoto, mji ambao una historia ya muda mrefu na kiti cha Sokoto Caliphate.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/ac/Front_of_Sokoto_Sultan_Palce.jpg/640px-Front_of_Sokoto_Sultan_Palce.jpg)
Maelezo zaidi Mahali, Takwimu ...
Jimbo la Sokoto Jina lingine la Jimbo hili: Seat of Caliphate | ||
Mahali | ||
---|---|---|
![]() | ||
Takwimu | ||
Gavana (Orodha) |
Aliyu Wamakko (PDP) | |
Tarehi lililoanzishwa | 3 Februari 1976 | |
Mji mkuu | Sokoto | |
Eneo | Eneo a eneo kilmota 25,973 liko katika nafasi ya 16 | |
Idadi ya Watu Sensa ya mwaka wa 1991 2005 est |
Liko katika nafasi ya 14 4.392.391 4.244.399 | |
GDP (PPP) -Jumla -Per capita |
2007 (kadirio) bilioni dola 4.82 [1] dola 1.274 [1] | |
ISO 3166-2 | NG-SO |
Funga
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/sw/thumb/3/33/Jimbo_Sokoto_Nigeria.png/320px-Jimbo_Sokoto_Nigeria.png)