![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/b/bf/Siedah_Garrett_2.png/640px-Siedah_Garrett_2.png&w=640&q=50)
Siedah Garrett
From Wikipedia, the free encyclopedia
Siedah Garrett (amezaliwa tar. 24 Juni 1960 mjini Los Angeles, California) ni mshindi wa Tuzo ya Oscar na Grammy, akiwa kama mtunzi na mwimbaji bora muziki wa Kimarekani. Huenda akawa maarufu kwa ushirkiano wake baina ya yeye na Michael Jackson katika kibao cha mwaka wa 1987, I Just Can't Stop Loving You.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/b/bf/Siedah_Garrett_2.png/320px-Siedah_Garrett_2.png)
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Asili yake ...
Siedah Garrett | |
---|---|
Amezaliwa | 24 Juni 1960 (1960-06-24) (umri 63) |
Asili yake | Los Angeles, California, Marekani |
Aina ya muziki | R&B |
Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo |
Miaka ya kazi | 1985-hadi leo |
Studio | Qwest Records, Omtown Records, FFRR Records |
Ame/Wameshirikiana na | Brand New Heavies, Michael Jackson |
Tovuti | siedah.com |
Funga