Shirikisho la Madola ya Marekani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Shirikisho la Madola ya Marekani (kwa Kiingereza: Confederate States of America; kifupi: CSA, mara nyingi pia "The South, the southern states") ) lilikuwa serikali ya muda mfupi ambayo ilikuwepo kusini mwa Mareka wakati wa Vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Marekani. Lilianzishwa mnamo 1861 na majimbo saba ya kusini ambako utumwa ulikuniwa halali, baada ya uchaguzi wa Abraham Lincoln kuwa rais wa Marekani.
- Kifupi chake kwa Kiingereza mara nyingi ni CSA kwa Confederate States of America