SemiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Semi ni tungo fupi zenye busara na ushauri kwa jamii zenye kutumia lugha ya picha, ishara na tamathali za semi. Utanzu wa semi una vipera kama vile: Methali Nahau Misemo Mafumbo Vitendawili Mizungu
Semi ni tungo fupi zenye busara na ushauri kwa jamii zenye kutumia lugha ya picha, ishara na tamathali za semi. Utanzu wa semi una vipera kama vile: Methali Nahau Misemo Mafumbo Vitendawili Mizungu