Selena Gomez
Mwigizaji na Mwimbaji wa Marekani (Amezaliwa 1992) / From Wikipedia, the free encyclopedia
Selena Marie Gomez (alizaliwa 22 Julai 1992) ni mwigizaji filamu na mwimbaji wa kike kutoka nchi ya Marekani. Alianza kuigiza filamu akiwa na umri wa miaka kumi tu. Baadaye akaanza kuimba pia katika bendi, na kutoa albamu kama Kiss & Tell, A Year Without Rain na When the Sun Goes Down.
Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Jina la kuzaliwa ...
Selena Gomez | |
---|---|
Selena nmano 2022 | |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Selena Marie Gomez |
Amezaliwa | 22 Julai 1992 (1992-07-22) (umri 31) |
Asili yake | Marekani |
Aina ya muziki | Pop, rock |
Kazi yake | Mwimbaji, Mwanamitindo, Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 2002–hadi leo |
Studio | Hollywood Records |
Tovuti | selenagomez.com |
Funga