![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/60/Scarlett_Johansson_by_Gage_Skidmore_2_%2528cropped%2529.jpg/640px-Scarlett_Johansson_by_Gage_Skidmore_2_%2528cropped%2529.jpg&w=640&q=50)
Scarlett Johansson
Mwigizaji wa Marekani (aliyezaliwa 1984) / From Wikipedia, the free encyclopedia
Scarlett Ingrid Johansson (alizaliwa 22 Novemba 1984) ni mwigizaji wa nchini Marekani.
![Johansson katika mwaka 2019 San Diego Comic-Con](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/60/Scarlett_Johansson_by_Gage_Skidmore_2_%28cropped%29.jpg/640px-Scarlett_Johansson_by_Gage_Skidmore_2_%28cropped%29.jpg)
Mwigizaji huyo anayelipwa pesa nyingi zaidi duniani miaka ya 2018 na 2019, amehusika mara nyingi kwenye orodha ya Forbes Celebrity 100. Filamu zake zimeingiza zaidi ya dolar za Kimarekani bilioni 14.3 duniani kote, na kumfanya Johansson kuwa kwenye Orodha ya waigizaji walioingiza pesa nyingi zaidi duniani.