![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/a7/Stgo_Abril.jpg/640px-Stgo_Abril.jpg&w=640&q=50)
Santiago de Chile
From Wikipedia, the free encyclopedia
Santiago de Chile ni mji mkuu wa nchi ya Chile. Mji ni sehemu ya kanda la mji mkuu (Región Metropolitana) inayojumlisha pamoja na mkoa wa Santiago mikoa mitano mingine. Santiago yenyewe ni jina la sehemu penye kitovu cha mji na mitaa ya serikali penye watu 202,000 tu.
Ukweli wa haraka Habari za kimsingi, Mahali ...
![]() Kitovu cha Santiago mbele ya milima ya Andes | |
Utawala | Mkoa wa Santiago |
Historia | iliundwa 12 Februari 1541 |
Anwani ya kijiografia | Latitudo: 33°27′0"S Longitudo: 70°40′0"W |
Kimo | 520 m juu ya UB |
Eneo | 641 km² (mji) |
Wakazi | - mji: 6,500,000 |
Msongamano wa watu | watu 8,000 kwa km² |
Simu | +56 (nchi) 73 (mji) |
Mahali | |
![]() |
Funga
Santiago ni kitovu cha kiuchumi na kisasa ya nchi hata kama Bunge lakutana mjini Valparaiso.