Santa Monica, California
From Wikipedia, the free encyclopedia
Santa Monica (kwa Kihispania "Mtakatifu Monika") ni mji wa Marekani katika jimbo la California.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Santa Monica | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | California |
Wilaya | Los Angeles |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 88,050 |
Tovuti: www.smgov.net |
Funga
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2006, mji una wakazi wapatao 88,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 32 kutoka juu ya usawa wa bahari.