![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/7/72/Sandra_Bullock_%25289189702847%2529.jpg/640px-Sandra_Bullock_%25289189702847%2529.jpg&w=640&q=50)
Sandra Bullock
From Wikipedia, the free encyclopedia
Sandra Annette Bullock (amezaliwa 26 Julai 1964) ni mwigizaji filamu wa Marekani. Ameanza kujipatia umaarufu kunako miaka ya 1990, baada ya kuigiza katika moja ya sehemu ya filamu zilizopata mafaniko makubwa - Speed na While You Were Sleeping.
Ukweli wa haraka Sandra Bullock ...
Sandra Bullock | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Sandra Annette Bullock |
Alizaliwa | 26 Julai 1964 Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1985 - hadi leo |
Ndoa | Jesse James (Julai 2005 - 2010) |
Watoto | 1 |
Funga
Baada ya hapo, akawa miongoni mwa waigizaji filamu wenye kuheshimika, hasa baada ya kucheza filamu iliyochezwa mwaka wa 2004 - Crash. Ni miongoni mwa wanamama tajiri wa 14 ambao waigizaji-mashuhuri wanaomiliki zaidi au chini ya dola milioni 85 za Kimarekani.