San Diego, California
From Wikipedia, the free encyclopedia
San Diego (yaani Mtakatifu Diego) ni mji mkubwa wa pili katika jimbo la California baada ya Los Angeles, na wa saba katika nchi nzima ya Marekani. Uko upande wa kusini-magharibi ya nchi.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Jiji la San Diego | |||
| |||
Mahali pa mji wa San Diego katika Marekani |
|||
Majiranukta: 32°42′54″N 117°09′45″W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | California | ||
Wilaya | San Diego | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 1,353,993 | ||
Tovuti: www.sandiego.gov |
Funga
San Diego una wakazi milioni 1,3 katika eneo la 963.6 km².
Jina la San Diego latoka katika lugha ya Kihispania, kwa kuwa ulijengwa kandokando ya konventi ya Wafransisko iliyokuwa na jina hilo kwaheshima ya Diego wa Alkala.