San Antonio Spurs
Timu ya mpira wa kikapu kutoka Marekani / From Wikipedia, the free encyclopedia
San Antonio Spurs ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini San Antonio, Texas. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Tim Duncan.