From Wikipedia, the free encyclopedia
Salvador Dalí (11 Mei 1904 - 23 Januari 1989) aliitwa kwa jina la kiraia Salvador Felipe Jacinto Dalí Domènech alikuwa mchoraji mashuhuri wa Hispania katika karne ya 20. Alifahamika zaidi kwa taswira zake katika mtindo wa usurealisti lakini alikuwa pia mwandishi, mchongaji na mwigaji wa maigizo.
Picha zake zilionyesha mara nyingi ndoto, malevi, homa na maono. Mara kwa mara alimwingiza mke wake Gala ndani ya taswira.
Kati ya wasanii muhimu wa Hispania wa karne ya 20 alikuwa mmoja wa wachache waliompenda dikteta Jenerali Francisco Franco. Alipingwa mara nyingi kwa msimmao huu wa kisiasa.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Salvador Dali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.