Saldae
From Wikipedia, the free encyclopedia
Saldae ulikuwa mji wa bandari katika Dola la Roma, upo katika eneo ambalo kwa sasa linajulikana kwa jina la Béjaïa, Kabylia nchini Algeria. Ilikuwa njia panda ya sehemu ya mashariki na magharibi mwa Afrika ya kaskazini, kutoka himaya ya Karthago hadi mwisho wa himaya ya Bizanti kutoka kwenye bara.