Sacramento, California
From Wikipedia, the free encyclopedia
Sacramento ndiyo mji mkuu katika jimbo wa California. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 2.1 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 8 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Jiji la Sacramento | |||
| |||
Mahali pa mji wa Sacramento katika Marekani |
|||
Majiranukta: 38°33′20″N 121°28′08″W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | California | ||
Wilaya | Sacramento | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 475,743 | ||
Tovuti: www.CityofSacramento.org |
Funga
Jina la Sacramento ni ya Kihispania, maana yake ni "sakramenti".