Södermanlands länFrom Wikipedia, the free encyclopedia Södermanlands län (Kiswahili: Wilaya ya Södermanland) ni kati ya wilaya 21 za Uswidi. Makao makuu yako Nyköping. Nembo ya Södermanlands län Mahali pa wilaya ya Södermanland katika Uswidi
Södermanlands län (Kiswahili: Wilaya ya Södermanland) ni kati ya wilaya 21 za Uswidi. Makao makuu yako Nyköping. Nembo ya Södermanlands län Mahali pa wilaya ya Södermanland katika Uswidi