Rotorua
From Wikipedia, the free encyclopedia
Rotorua (kwa Kimaori: Te Rotorua-nui-a-Kahumatamomoe) ni mji wa New Zealand wenye wakazi 22,900 (2010).
Ukweli wa haraka Habari za kimsingi, Mahali ...
Mji wa Rotorua (New Zealand) | |
Mkoa | Bay of Plenty |
Anwani ya kijiografia | Latitudo: 38°08′0″16 - Longitudo: 176°15′05″E |
Eneo | 2,614.9 km² |
Wakazi | 55,900 (mji pekee) 68,600 (pamoja na rundiko) |
Msongamano wa watu | watu 26.2 (mji pekee) kwa km² |
Simu | +64 (nchi), 07 (mji) |
Mahali | |
![]() |
Funga
Uko upande wa kaskazini wa funguvisiwa. Eneo lake ni km² 2,614.9. Mji uliaNzishwa mwaka 1883.