From Wikipedia, the free encyclopedia
Rosario ni mji uliopo mashariki-kati mwa nchi ya Argentina, takriban km 300 kutoka mji wa Buenos Aires. Ni makao makuu ya Wilaya ya Santa Fe.
Kwa mwaka wa 2008, mji wa Rosario ulikuwa na wakazi wapatao 1,000,000, na kuufanya uwe mji wa tatu kwa ukubwa katika Argentina. Mji upo katika eneo la mto mashuhuri wa Argentina, mto Parana.
Makala hii kuhusu maeneo ya Argentina bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Rosario kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.