Rodrigo Santoro
From Wikipedia, the free encyclopedia
Rodrigo Junqueira dos Reis Santoro (amezaliwa 22 Agosti 1975) ni mwigizaji filamu na tamthilia kutoka nchi ya Brazil. Hapo awali alikuwa akiigiza katika baadhi ya tamthilia za kilatini zinazojulikana kwa jina telenovela, zilizopo nchini kwake. Kunako mwaka wa 2003 akaanza kujipatia umaarufu baada ya kucheza katika filamu ya Love actually na 300 iliyochezwa mwaka 2007.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/7/7e/Rodrigo_Santoro.jpg/195px-Rodrigo_Santoro.jpg)