Riyad
From Wikipedia, the free encyclopedia
Riyad (Kar.: الرياض ar-riyāḍ) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Ufalme wa Uarabuni wa Saudia.
Iko katikati ya Bara Arabu kwenye nyanda za juu za eneo la Najd. Kuna wakazi milioni 4.3 ambao ni karibu 20 % za watu wote katika Saudia.