Ritifaa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Ritifaa

Ritifaa (kutoka neno la Kiarabu; pia apostrofi kutoka Kigiriki ἀποστροφή, apostrofee, "ondoleo", kupitia Kiingereza: "apostrophe"; huitwa tena king'ong'o) ni alama ya uakifishaji inayoandikwa '.

Apostrofi au ritifaa.

Umbo lake ni sawa na mkato lakini inakaa juu ya mstari.

Alama hiyo inaonyesha pengine kwamba herufi au silabi imeanguka au kupunguzwa, kwa mfano katika shairi, lakini katika herufi "ng'" inatofautisha fonimu husika na nyingine inayofanana (ng). Baadhi ya maneno yenye apostrofi ni ng'ombe na kung'ata.

Kwa Kiingereza ni alama inayotumika zaidi kuonyesha hali ya jambo kuwa mali ya fulani: * Mike's car = gari la Mike.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ritifaa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.