Ras al-Khaimah
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ras Al-Khaimah (Kiar.: رأس الخيمة "Rasi ya hema") ni moja kati ya utemi katika shirikisho la Falme za Kiarabu. Iko katika kaskazini kabisa ya nchi.
Eneo lake ni 1700 km². Jumla hili limegawiwa kwa sehemu mbili zinazotenganishwa na maeneo ya falme nyingine. Kuna wakazi 250,000.
Mtawala wake ni Sheikh Saqr bin Mohammad al-Qassimi.