Ralf Krewinkel
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ralf Karel Hubert Krewinkel (amezaliwa 12 Novemba 1974) ni mwanasiasa kutoka Uholanzi. Tangu 31 Agosti 2015 yeye ni Meya wa Manispaa ya Heerlen katika jimbo la Limburg, Uholanzi. Alikuwa Meya wa Manispaa ya Beek kuanzia 2011 hadi 2015. Alizaliwa Kerkrade (pia Limburg, Uholanzi).