Pyotr Ilyich Tchaikovsky
From Wikipedia, the free encyclopedia
Pyotr Ilyich Tchaikovsky (kwa Kirusi: Пётр Ильич Чайковский, Pëtr Il’ič Čajkovskij; sikiliza ?) (alizaliwa Kamsko-Votkinsk, 7 Mei 1840 - mjini St. Petersburg, 6 Novemba 1893) alikuwa mtunzi na mwanasanaa mbalimbali kutoka nchini Urusi.
Yeye ni mashuhuri zaidi ya watunzi wengine wote wa kutoka nchini Urusi. Alitunga ala nzuri na zilijawa na simanzi-kusitisha. Alijifunza na kufuata mwenendo wa muziki wa kutoka Magharibi mwa Ulaya, lakini miziki yake yote ilikuwa ikisikika sana kwa mwundo wa Kirusi.