![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/f9/Duomo_Prato_01.jpg/640px-Duomo_Prato_01.jpg&w=640&q=50)
Prato
From Wikipedia, the free encyclopedia
Prato ni mji wa Italia katika mkoa la Toscana. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 185,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 65 kutoka juu ya usawa wa bahari.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/f9/Duomo_Prato_01.jpg/640px-Duomo_Prato_01.jpg)
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Prato | |
Majiranukta: 43°52′48″N 11°05′54″E | |
Nchi | Italia |
---|---|
Mkoa | Toscana |
Wilaya | Prato |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 185,603 |
Tovuti: www.comune.prato.it |
Funga