PrahaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Praha (pia: Praga, Prague tamka: Prag -Kicheki: Praha) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Ucheki wenye wakazi milioni 1.3(2022)[1]. Minara na madaraja ya Praha Kutokana na uzuri wa majengo yake ya kihistoria imeitwa "mji wa dhahabu" au "mji wa minara 100".
Praha (pia: Praga, Prague tamka: Prag -Kicheki: Praha) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Ucheki wenye wakazi milioni 1.3(2022)[1]. Minara na madaraja ya Praha Kutokana na uzuri wa majengo yake ya kihistoria imeitwa "mji wa dhahabu" au "mji wa minara 100".