Portland Trail Blazers
Timu ya mpira wa kikapu kutoka Marekani / From Wikipedia, the free encyclopedia
Portland Trail Blazers ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Portland, Oregon. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Damien Lillard, C.J. McCullon.