![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/e/e8/Phoenix_Suns_in_Vancouver.jpg/640px-Phoenix_Suns_in_Vancouver.jpg&w=640&q=50)
Phoenix Suns
Timu ya mpira wa kikapu kutoka Marekani yenye makao yake makuu Arizona / From Wikipedia, the free encyclopedia
Phoenix Suns ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Phoenix, Arizona. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Devin Booker, De’Andre Ayton.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/e/e8/Phoenix_Suns_in_Vancouver.jpg/640px-Phoenix_Suns_in_Vancouver.jpg)