Penny Johnson Jerald
From Wikipedia, the free encyclopedia
Penny Johnson Jerald (amezaliwa tar. 14 Machi 1961) ni mwigizaji wa filamu na vipindi vya televisheni kutoka nchini Marekani. Anafahamika sana kwa kucheza kama Beverly Barnes kutoka katika mfululizo wa vichekesho vya HBO vya The Larry Sanders Show, Kasidy Yates kutoka katika mfululizo wa uzushi wa kisayansi wa Star Trek: Deep Space Nine, na Sherry Palmer kutoka katika mfululizo wa televisheni ya FOX almaarufu kama 24.